Friday, 30 March 2018

Mhifadhi wanyamapori daraja la III Basic technician nafasi 22

ad300
Advertisement
MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III (BASIC TECHNICIAN) – MDA'S - 22 POST

Employer: MDAs & LGAs Date Published: 2018-03-28 Application Deadline: 2018-04-11 

JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.    Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi
ii.    Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi
iii.    Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha
iv.    Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori
v.    Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali
vi.    Kufanya usafi na ulinzi wa kambi
vii.    Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi
viii.    Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani
ix.    Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao
x.    Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi
xi.    Kudhibiti wanyamapori waharibifu 
xii.    Kudhibiti moto kwenye hifadhi
xiii.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI wenye Astashahada ya Uhifadhi Wanyamapori (Basic Technician Certificate in Wildlife Management) kutoka Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. 
REMUNERATION: Salary Scale Ngazi za Mishahara ya Serikali Share This
Previous Post
Next Post

FURSA AJIRA Is is an East Africa site which announcing, publishing job vacancies everyday from the government portals, recruiters agencies, organizations, companies and institutions to those jobless people. Get your dream job by visiting this site everyday or just install Fursa Ajira App

0 comments: