Monday, 25 September 2017

Job Opportunity At Lokonet-Marketing Officer

ad300
Advertisement

Location
Kinondoni, Mabibo Dar Es Salaam
Description
Application deadline
2017-09-25LOKONET ADVERTISING SOLUTION
Ni kampuni yenye makazi yake Mabibo, DSM-Tanzania.
Kampuni inajihusisha na kutengeneza Logos,Business card, CV, Company profiles, Vipeperushi,Matangazo ya Television na mitandao ya kijamii kwa style ya animation,posters,flyers n.k.
Pia tunatengeneza Websites za aina mbali mbali kwa ajiri ya kampuni tofauti tofauti.
LOKONET inatafuta vijana wa kitanzania katika mikoa yote Tanzania wenye uwezo wa kujieleza na kujiamini ili kuongeza nguvu katika kitengo cha Marketing.
MSHAHARA
Malipo yatakuwa ni 40% kwa kila unachoingiza katika kampuni, mfano; umepata mteja wa anaehitaji website na gharama ya website ni Tsh: 800,000/- basi utalipwa asilimia 40 ya 800,000 ambayo ni Ths: 320,000/-, ukipata wateja wanne kwa mwezi unaingiza Tsh: 1,280,000 (milioni moja laki mbili na themanini kwa mwezi).
kama upo tayari tuma cv yako.
SIFA ZA MWOMBAJI
  1. Uwezo wa kushawishi (convincing power), uwezo wa kujieleza na uwezo wa kufanya Negotiation.
  2. Elimu kuanzia Kidato cha nne mpaka Diploma.
  3. Umri kuanzia miaka 20 - 30
HOW TO APPLY
TUMA CV YAKO KWA EMAIL: advertise@lokonet.co.tz
Share This
Previous Post
Next Post

FURSA AJIRA Is is an East Africa site which announcing, publishing job vacancies everyday from the government portals, recruiters agencies, organizations, companies and institutions to those jobless people. Get your dream job by visiting this site everyday or just install Fursa Ajira App

0 comments: